Simu 5 Bora za Bei Nafuu Mwaka 2025 kwa Watanzania
Karibu TechBongo TZ! Katika post yetu ya kwanza, tunakuletea simu 5 bora za bei nafuu kwa mwaka 2025 ambazo zinafaa kwa matumizi ya kila siku kama vile mitandao ya kijamii, picha, na kazi ndogondogo za ofisini. 1. Infinix Hot 30i Bei: Tsh 300,000 - 350,000 - RAM: 4GB - ROM: 128GB - Battery: 5000mAh - Inafaa kwa: Gaming nyepesi, TikTok, WhatsApp 2. Tecno Spark 20 Bei: Tsh 400,000 - Kamera nzuri kwa picha za usiku - Inafanya kazi vizuri na apps nyingi za kawaida 3. Itel P40 Bei: Tsh 280,000 - Battery kubwa - Kwa matumizi ya kawaida kama YouTube na Facebook 4. Xiaomi Redmi A2+ Bei: Tsh 350,000 - Android 13 Go Edition - Inafaa kwa wanafunzi na vijana 5. Samsung Galaxy A04e Bei: Tsh 370,000 - Brand kubwa, ubora wa picha mzuri - Rahisi kutumia Hitimisho: Ukifanya uchaguzi sahihi wa simu, huna haja ya kutumia pesa nyingi. Endelea kufu...